Waziri Biteko awahamasisha wanafunzi SAUT “hakuna kushikana mkono”
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Waziri wa Madini, Doto Biteko akizungumza kwenye uzinduzi wa maadhimisho ya miaka 20 kuelekea Jubilee ya miaka 25 tangu kuanzishwa kwa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT) yaliyofanyika leo Julai 02, 2019 katika Kampasi Kuu ya Malimbe jijini Mwanza.
Biteko amezungumza kwa niaba ya wanafunzi waliowahi kusoma katika Chuo cha SAUT (SAUT Alumnus) ambapo mwaka 2008/09 alikuwa Rais wa Serikali ya wanafunzi wa Chuo hicho. Mgeni rasmi kwenye maadhimisho hayo alikuwa Rais Mstaafu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania awamu ya tatu, Mhe. Benjamin Mkapa.
Tazama BMG Online TV hapa chini
No comments: