LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mkuu wa Mkoa Mwanza awasilisha taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella, amewasilisha taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka 2015/20 kwa kipindi cha kuanzia mwezi Januari hadi Juni mwaka huu 2019. 

Mongella amewasilisha taarifa hiyo leo jumamosi Julai 27, 2019 kwenye kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa Mwanza chini ya Mwenyekiti wa CCM Mkoa Mwanza, Dkt. Antony Diallo uliofanyika katika ukumbi wa Benki Kuu jijini Mwanza.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.