LIVE STREAM ADS

Header Ads

Rais Magufuli kuzindua miradi saba Hospitali ya Rufaa Bugando

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo Jumatatu Julai 15, 2019 anatarajiwa kuzindua rasmi miradi saba inayohusiana na huduma za tiba yenye thamani ya shilingi Bilioni 10.6 za kitanzania katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Ziwa Bugando.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.