LIVE STREAM ADS

Header Ads

Waziri Mkuu Majaliwa awasili Mwanza kumwakilisha Rais Magufuli

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa (katikati) akiwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza, jana Julai 22, 2019 majira ya saa tatu usiku ambapo leo Julai 23, 2019 anatarajiwa kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli kwenye Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tanzania (ALAT) Taifa unaofanyika Malaika Hotel jijini Mwanza.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.