Header Ads

RC Mongella aidadavua miradi ya mabilioni mbele ya Rais Magufuli

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
 Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella akizungumza kwenye uzinduzi wa miradi saba ya tiba katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Ziwa- Bugando, Jumatatu Julai 15, 2019 ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Rais Dkt. John Pombe Magufuli.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Katika hafla hiyo, Rais Dkt. John Magufuli alizindua huduma tiba za tiba/ afya ikiwemo huduma ya mionzi ya saratani katika Hospitali ya Bugando.
 Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli (kulia) akiwa kwenye hafla ua uzinduzi wa miradi saba ya tiba/ afya katika Hospitali ya Rufaa Kanda ya Ziwa Bugando. Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Hospitali ya Bugando, Mhashamu Baba Askofu Renatus Nkwande ambaye pia ni Akofu Mkuu Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.