Header Ads

Mbunge Stanslaus Mabula akitema madini mbele ya Rais Magufuli

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

 Mbunge wa Jimbo la Nyamagana mkoani Mwanza, Stanslaus Mabula (CCM) akitoa salamu zake kwenye uzinduzi wa miradi saba ya tiba katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Ziwa Bugando, Jumatatu Julai 15, 2019 ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.
 Mbunge Mabula alitumia fursa hiyo kutanabaisha utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza kwenye kwenye uzinduzi wa miradi saba ya tiba katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Ziwa Bugando.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.