LIVE STREAM ADS

Header Ads

Rais Magufuli azindua miradi kabambe Bugando

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na viongozi mbalimbali wakati wa zoezi la kukata tepe kuashiria uzinduzi wa huduma za tiba katika Hospitali ya Rufaa Kanda ya Ziwa Bugando iliyopo jijini Mwanza, Jumatatu Julai 15, 2019.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na viongozi mbalimbali akiweka jiwe la msingi uzinduzi wa midari ya tiba katika Hospitali ya Kanda Bugando.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli (kushoto) akimpongeza Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Hospitali ya Bugando, Mhashamu Baba Askofu Renatus Kwande baada ya kuzindua miradi saba katika Hospitali hiyo.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli (katikati) akimpongeza Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Bugando, Prof. Abel Makubi baada ya kuzindua miradi saba katika Hospitali hiyo.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.