LIVE STREAM ADS

Header Ads

RC Mongella "Ushoroba wa Kati umechangamsha uchumi wa Mwanza"

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
 Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella amesema kufunguliwa kwa safari za mizigo kwa kutumia reli na meli kupitia ushoroba wa kati (Central Corridor) kumechochea ukuaji wa uchumi kwa wananchi mkoani Mwanza.

Mongella ameyasema hayo leo Julai 30, 2019 kwenye hafla ya usafirishaji mizigo kwa kutumia meli ya MV. Umoja kupitia Ziwa Victoria kutokea bandari ya Mwanza Kusini (Tanzania) hadi bandari ya Portbell (Uganda), uliofanywa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe katika bandari ya Mwanza Kusini.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.