LIVE STREAM ADS

Header Ads

Shirika la WFP lasaidia ukarabati wa mabehewa 40 ya TRC

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Katika kuhakikisha usafirishaji wa mizigo kwa njia ya wa reli na meli kupitia ushoroba wa kati (Central Corridor) unaimarika, shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limesaidia ukarabati wa mabehewa 40 ya shirika la reli nchini TRC.

Mkurugenzi wa WFP Tanzania, Michael Dunford ameyasema hayo Julai 30, 2019 kwenye hafla ya usafirishaji mizigo kwa kutumia meli ya MV. Umoja kupitia Ziwa Victoria kuanzia bandari ya Mwanza Kusini (Tanzania) hadi bandari ya Portbell (Uganda), uliofanywa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe katika bandari ya Mwanza Kusini.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.