LIVE STREAM ADS

Header Ads

Tanzania yapiga hatua "viongozi wa kimataifa wafika kujifunza"

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa amesema Tanzania imeendelea kupiga hatua katika mabadiliko ya uchumi wa kilimo na viwanda, hatua ambayo imewavutia viongozi mbalimbali wa kimataifa.

Bashungwa ameyasema hayo Julai 30, 2019 jijini Mwanza wakati akitoa salamu zake kwenye hafla ya usafirishaji mizigo kwa kutumia meli ya MV. Umoja kupitia Ziwa Victoria kuanzia bandari ya Mwanza Kusini (Tanzania) hadi bandari ya Portbell (Uganda), uliofanywa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.