Header Ads

RC Geita alivyoomba Baraka za RC Mwanza "tunataka Geita inyanyuke"

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Mkuu wa Mkoa Geita, Mhandisi Robert Gabriel akitoa salamu zake kwenye hafla ya usafirishaji wa mabehewa 19 ya chakula cha Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) kwa kutumia reli na meli ya MV. Umoja kupitia Ziwa Victoria kutokea bandari ya Mwanza Kusini (Tanzania) hadi bandari ya Portbell (Uganda) ili kupelekwa kwa wahitaji.

Mgeni rasmi kwenye hafla hiyo iliyofanyika jana Julai 30, 2019 alikuwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.