Header Ads

Shirika la NSSF lafungua milango zaidi kwa watanzania

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) limewahimiza wananchi waliojiajiri na kuajiriwa katika sekta isiyo rasmi nchini, kutumia fursa iliyopo ya kujiunga na shirika hilo ili kunufaika na mafao mbalimbali ikiwemo ya uzazi na uzeeni.

Meneja Uhusiano Elimu kwa Umma NSSF, Lulu Mengele aliyasema hayo jana Julai 31, 2019 kwenye mkutano baina ya shirika hilo na waandishi wa habari mkoani Mwanza, uliolenga kutoa elimu kuhusiana na kampeni ya Marafiki wa NSSF yenye lengo la kuhakikisha wananchi wote wanajiunga na kunufaika na mafao ya jamii.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.