Header Ads

Mamia wakumbana na vitendo vya ukatili wa kijinsia wilayani Bunda

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
 Wilaya ya Bunda mkoani Mara ni miongoni mwa Wilaya zenye kiwango kikubwa cha matukio ya ukatili wa kijinsia nchini. Ili kutokomeza matukio hayo, kampeni ya kutoa elimu ya kutokomeza ukatili wa kijinsia hususani kwa wanawake na watoto awamu ya pili imezinduliwa katika Wilaya hiyo. Uzinduzi huo ulifanyika Julai 25, 2019 katika Kata ya Guta.
#BMGHabari
 Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la kutetea haki za wanawake na watoto (KIVULINI), Yassin Ally akisisitiza jambo kwenye uzinduzi huo. Halmashauri za Wilaya Bunda na Bunda Mji zinashirikiana na Shirika la Kivulini kutekeleza kampeni hiyo.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.