Header Ads

RC Mwanza azindua rasmi zoezi la uboreshaji daftari la kudumu la wapiga kura

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
 Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (liyekaa kushoto) amezindua rasmi zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura mkoani hapa kwa kuwa mtu wa kwanza kuboresha taarifa zake katika Mtaa wa Kiseke PPF Kata ya Kiseke Manispaa ya Ilemela, Agosti 13, 2019.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
 Zoezi la uboreshaji daftari la kudumu la kudumu la wapiga kura mkoani Mwanza litadumu kwa siku saba kuanzia Agosti 13-19, 2019 katika Wilaya za Ukerewe, Magu, Ilemela, Nyamagana, Sengerema na Misungwi ambapo kwa Wilaya ya Kwimba litaanza Agosti 26, 2019 hadi Septemba 01, 2019.
 Afisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania (NEC) akitoa ufafanuzi kwa baadhi ya wakazi wa Kata ya Kiseke waliofika kuboresha taarifa zao kwenye daftari la kudumu la wapiga kura.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.