Header Ads

Wakeketaji wabuni mbinu "wanakeketwa Kenya na kurudi Tanzania"

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
 Vyombo vya ulinzi na usalama nchini vimetakiwa kuongeza nguvu kwenye mapambano dhidi ya mila na desturi potofu ya ukeketaji kwa watoto wa kike katika Wilaya Tarime mkoani Mara licha ya elimu inayoendelea kutolewa katika jamii.

Hayo yaliibuliwa kwenye mdahalo wa wazi uliolenga kutoa elimu ya kupambana na aina zote za ukatili wa kijinsia ikiwemo ukeketaji, uliofanyika katika Kata ya Muriba wilayani Tarime, Agosti 05, 2019.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
 Mkurugenzi wa Shirika la KIVULINI, Yassin Ally akisisitiza jambo kwenye mdahalo huo.
Mwenyekiti wa Dawati la Jinsia na Watoto Mkoa wa kipolisi Tarime/ Rorya, ASP. Fatuma Simwela akizungumza kwenye mdahalo huo.
 Mwenyekiti wa Dawati la Jinsia na Watoto Mkoa wa kipolisi Tarime/ Rorya, ASP. Fatuma Simwela akitolea ufafanuzi masuala mbalimbali kwenye mdahalo huo.
 Baadhi ya wakazi wa Kata ya Muriba wilayani Tarime wakifuatilia mdahalo huo.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.