Header Ads

Taasisi ya TAHA yatoa elimu bure kwa wananchi kuhusu kilimo cha kibiashara

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
 Wafanyakazi wa taasisi ya TAHA wakiwa kwenye picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe (wa tano kushoto) aliyetembelea banda la taasisi hiyo kwenye Maonesho Nane Nane 2019 yanayofanyika kwa Kanda ya Ziwa Magharibi katika uwanja wa Nyamhongolo jijini Mwanza.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Taasisi ya Tanzania Horticultural Association (TAHA) imetumia fursa ya maonesho ya bidhaa za kilimo, ufugaji na uvuvi (Nane Nane) 2019 yanayofanyika katika Kanda mbalimbali nchini kutoa bure elimu kwa wakulima kuhusu manufaa ya kilimo cha mazao ya mboga mboga, matunda na viungo.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.