Misungwi watakiwa kuyatumia masoko ya madini "viongozi watoa tahadhari"
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa
Wilaya Misungwi mkoani Mwanza, Juma Sweda amekagua shughuli za wachimbaji
wadogo wa dhahabu katika machimbo ya Shilalo na kuwahimiza kujiandaa kuyatumia
masoko ya madini yanalotarajiwa kufunguliwa wilayani humo likiwemo soko la
Shilalo.
#BMGHabari
Uboreshaji wa jengo kwa ajili ya uanzishwaji soko la madini jirani na machimbo ya dhahabu Shilalo wilayani Misungwi unaelekea ukingoni.
Ujenzi wa choo/ vyoo katika machimbo ya Shilalo wilayani Misungwi umezingatiwa ikiwa ni hatua ya kuimarisha pia uanzishwaji wa soko la madini.
Moja ya mashine ya kusagia mawe yenye dhahabu katika machimbo ya Shilalo wilayani Misungwi.
Sehemu ya eneo la kuoshea dhahabu katika machimbo ya Shilalo wilayani Misungwi.
Wachimbaji wadogo wa dhahabu katika machimbo ya Shilalo wilayani Misungwi.
Tazama BMG Online TV hapa chini
No comments: