LIVE STREAM ADS

Header Ads

Aliyepata ajali na gari na RC Mara afariki dunia

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mtoto wa dereva wa Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kasobi Shida (26) aliyekuwa amelazwa katika hospitali ya Mkoa huo baada ya kupata ajali amefaraiki.

Kasobi amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Agosti 06, 2019 kutokana na majeraha aliyoyapata kifuani na tumbo kutokana na ajali hiyo iliyotokea Agosti 04, 2019.

Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Mkoa wa Mara, Dk. Hosea Bisanda amethibitisha kutokea kifo hicho.
Na Asha Shaban, Musoma

No comments:

Powered by Blogger.