DC Nyamagana awahamasisha wanawake kushiriki uchaguzi ujao
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Wilaya Nyamagana mkoani
Mwanza, Dkt. Philis Nyimbi amewahimiza wanawake kujitokeza kwa wingi kugombea
nafasi za uongozi katika uchaguzi wa Serikali za Vijiji na Mitaa unaotarajiwa
kufanyika Mwezi Oktoba mwaka huu 2019.
Dkt.
Nyimbi ametoa rai hiyo kwenye mkutano wa mwamvuli wa mashirika yanayotetea
lengo namba tano la maendeleo endelevu hapa nchini (ASDG5 Coallition Tanzania),
linalohusu usawa wa kijinsia (SDG5).
Tazama BMG Online TV hapa chini
SOMA>>> Habari zinazobamba mtandaoni
SOMA>>> Habari kuhusiana na wanawake
No comments: