LIVE STREAM ADS

Header Ads

Bloggers wapigwa msasa “wasaidie utetezi wa haki za binadamu”

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Waandishi wa habari 25 kutoka vyombo mbalimbali mbadala (Alternative Media) Tanzania vinavyojumuisha mitandao ya kijamii ikiwemo magazeti tando (Blogs) pamoja na luninga za mtandaoni (Online TV) wanaotekeleza mradi wa utetezi wa haki za binadamu kwa kutumia takwimu (Data Driven Advocacy-DDA) wamekutana jijini Dododa kujengewa ili uwezo.

Mradi wa DDA kwa kundi namba tatu linalohusisha waandishi wa habari wa mitandaoni unatekelezwa na Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa Arusha (APC) kwa usimamizi wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC) kwa ufadhili wa Mfuko wa Maendeleo wa Watu wa Marekani kupitia taasisi za Freedom House pamoja na PACT.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Mwezeshaji wa mafunzo hayo, Wakili Froldius Mutungi akiwasilisha mada kuhusu Haki za Binadamu.
 Washiriki wakifuatilia mafunzo hayo.
 Baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo.
Waandishi wa habari wa mitandaoni wakiwa kwenye mafunzo kuhusu haki za binadamu jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa kundi namba tatu linalohusisha waandishi wa habari wa mitandaoni kwenye mradi wa DDA nchini Tanzania, Midraj Ibrahimu (kushoto) pamoja na washiriki wengine wakifuatilia mafunzo hayo.
 Washiriki wakiwa kwenye mafunzo hayo.
 Washiriki wa mafunzo hayo wakiwa kwenye picha ya pamoja.
Baadhi ya waandishi wa habari wa mitandaoni Tanzania wakiwa kwenye picha ya poamoja jijini Dodoma.
Tazama BMG Online TV hapa chini
Picha na Kadama Malunde & Albert Gsengo

No comments:

Powered by Blogger.