Header Ads

Maonesho ya Nane Nane 2019 Kanda ya Ziwa Magharibi yaanza vyema

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya maonesho ya bidhaa za kilimo, ufugaji na uvuvi Kanda ya Ziwa Magharibi, Emil Kasagala amesema maonesho hayo yanayofanyika katika uwanja wa Nyamhongolo jijini Mwanza yameanza vyema na yanatarajiwa kupata mwitikio mkubwa.

Kasagala aliyasema hayo jana Agosti 03, 2019 kwenye ufunguzi rasmi wa maonesho hayo yanayojumuisha mikoa ya Mwanza, Geita na Kagera ambapo mgeni rasmi alikuwa Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.