Header Ads

Bashe ataka wakulima wasibugudhiwe "wanahangaika kulima wao na familia zao"

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
 Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe (wa nne kushoto) leo Jumamosi Agosti 03, 2019 amefungua rasmi maonesho ya bidhaa za kilimo, ufugaji na uvuvi Kanda ya Ziwa Magharibi inayohusisha mikoa ya Mwanza, Geita na Kagera yanayofanyika katika uwanja wa Nyamhongolo jijini Mwanza.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.