LIVE STREAM ADS

Header Ads

Askofu Mbelwa aongoza Ibada ya Kipaimara jijini Mwanza

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Lweru mkoani Kagera, Godfrey Mbelwa ameongoza ibada ya Kipaimara katika Kanisa Anglikana la Mtakatifu Nicholas Dayosisi ya Victoria Nyanza na kuwahimiza wazazi kuwalea watoto wao katika misingi kujifunza neno la Mungu.

Ibada hiyo ilifanyika Jumamosi Oktoba 20, 2019 ambapo miongoni mwa waliopata Kipaimara ni pamoja na watoto wa Mtangazaji wa Jembe FM ya jijini Mwanza ambaye pia ni Mwanzilishi wa Mtandao wa Gsengo Blog & TV, Albert Sengo waitwao Cedrick Sengo pamoja na Cuthbert Sengo.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Askofu Godfrey Mbelwa Godfrey Mbelwa akimuombea Cedrick Sengo katika ibda hiyo.
 Askofu Godfrey Mbelwa Godfrey Mbelwa akimuombea Cuthbert Sengo katika ibda hiyo.
 Mama watoto pamoja na waumini mbalimbali wakifuatilia ibada hiyo.
Baadhi ya waliopata Kipaimara wakiwa kwenye picha ya pamoja na Askofu Godfrey Mbelwa.
 Wazazi wakifurahia.
 Furaha kwa wazazi.
 Keki kwa ajili ya kuwapongeza vijana.
 Vijana akifurahia msosi baada ya kupata Kipaimara.
 Wazazi wakifurahia pamoja na watoto.
 Vijana wakikata keki.
 Wasaa wa mama kulishwa keki na wanae.
 Mama akiwalisha wanae keki.
 Wasaa wa baba kulishwa keki na wanae.
 Baba akiwalisha keki wanae.
 Wasaa wa vijana "kumlisha" mdogo wao.....hahahaaaa
 Wasaa wa vijana kumlisha keki shangazi.
 Wasaa wa rafiki kupata keki.
 Shughuli ya keki ikiendelea.
Tazama BMG TV ONLINE hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.