LIVE STREAM ADS

Header Ads

Miradi ya kimkakati Mwanza "kuna daraja la Kigongo-Busisi"

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
"Utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo daraja la Kigongo-Busisi, jengo la abiria katika uwanja wa ndege wa Mwanza pamoja na Meli mpya Ziwa Victoria ni miongoni mwa miradi ya kimkakati inayotekelezwa mkoani Mwanza" Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella akizungumza kwenye kikao cha Bodi ya Barabara, Oktoba 30, 2019.
Tazama BMG TV ONLINE hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.