LIVE STREAM ADS

Header Ads

Miradi inayotekelezwa na taasisi ya Aga Khan wilayani Sengerema

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Taasisi ya Aga Khan ni miongoni mwa wadau muhimu wanaoshirikia na Serikali kuboresha huduma mbalimbali za kijamii ikiwemo afya ambapo kwa Wilaya Sengerema mkoani Mwanza, taasisi hiyo inatekeleza mradi wa IMPACT wenye lengo la kuboresha huduma za uzazi.
Tazama BMG TV ONLINE TV hapa chini

Taasisi ya Aga Khan yakabidhi vifaa tiba vya kisasa wilayani Ukerewe

No comments:

Powered by Blogger.