LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mkuu wa Mkoa aagiza waliobomoa Shule wakamatwe

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella amemuagiza Mkuu wa Polisi Wilaya Sengerema kuwasaka na kuwakamata wanaotuhumiwa kubomoa Shule ya Sekondari Bugumbikiso ilipo Kata ya Chifunfu kwa kile kinachoelezwa ni mvutano wa kisiasa. Shule hiyo ilianza kujengwa kwa nguvu za wananchi mwaka 2017.
Tazama BMG TV ONLINE hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.