LIVE STREAM ADS

Header Ads

Sengerema watakiwa kuongeza juhudi "wazae kwa wingi"

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Baada ya Rais Dkt. John Magufuli kusaidia ujenzi wa wodi ya wazazi katika Zahanati Kasenyi wilayani Segerema, Mkuu wa Mkoa Mwanza John Mongella amewasihi wanaume kuongeza juhudi ili watoto wazaliwe kwa wingi katika wodi hiyo.

Mongella alitoa kauli hiyo Oktoba 11, 2019 wakati akikagua miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja na kusikiliza kero za wananchi na kuzitolea maelekezo ya ufumbuzi.
Tazama BMG TV ONLINE hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.