LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mongella afika SITE usiku kukagua jengo la abiria Mwanza Airport

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
 Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella usiku wa Ijumaa Oktoba 11, 2019 amekagua ujenzi wa jengo la kisasa kwa ajili ya abiria katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwanza unaojengwa usiku na mchanga.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
 Mkuu wa Mkoa Mwanza (kulia mwenye kofia) akiwa akikagua ujenzi huo.
 Ujenzi huo unafanyika usiku na mchana ili ukamilike ndani ya miezi sita badala ya miezi 12.
 Hadi kukamilika, jengo hilo litagharimu zaidi ya shilingi bilioni nne ikiwa ni makusanyo ya ndani kati ya Halmashauri ya Jiji la Mwanza na Manispaa ya Ilemela ambapo ni utekelezaji wa agizo la Rais Magufuli alilolitoa Julai 15, 2019 jijini Mwanza.
 Jengo holo likikamilika litakuwa na uwezo wa kuhudumia zaidi ya abiria 600 kwa wakati mmoja.
 Ujenzi ulianza rasmi Septemba 25, 2019.
 Kazi ya ushushaji mifuko ya saruji.
 Kazi ya ushushaji matofali ikiendelea.
 Nondo kwa ajili ya ufungaji nguzo za jengo hilo.
Tazama BMG TV ONLINE hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.