LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mwimbaji Esther Kusekwa kutumbuiza kwenye kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mwimbaji wa nyimbo za Injili jijini Mwanza, Esther Tindos Kusekwa ni mmoja wa waimbaji nchini waliopata fursa ya kutumbuiza kwenye kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru Oktoba 14, 2019 mkoani Lindi. Baada ya kupata fursa hiyo, Kusekwa amezungumza na BMG TV ONLINE kuhusiana na huduma yake.
 Mwimbaji Esther Tindos Kusekwa (wa pili kushoto) akiagana na Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (kushoto) baada ya kupata fursa ya kutumbuiza kwenye kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru 2019.
 Tazama BMG TV ONLINE hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.