LIVE STREAM ADS

Header Ads

BITEKO “waliofanikiwa hawaongei siasa miaka yote”

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mbunge wa Jimbo la Bukombe, Doto Biteko ambaye pia ni Waziri wa Madini akitoa salamu zake aliposhiriki ibada ya jumapili katika Kanisa la EAGT Kanani Uyovu wilayani Bukombe Novemba 24, 2019.


Biteko amewashukuru viongozi wa dini kwa kuendelea kuliombea Taifa huku akiwasihi waumini kuendelea kushirikiana na viongozi wa Serikali katika kufanikisha utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo akisisitiza suala la siasa kuwa na kipindi flani kwani hata waliofanikiwa hawaongei siasa vijiweni miaka yote.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
 Waumini wa Kanisa la EAGT Kanani Uyovu wakimsikiliza Mbunge wa Jimbo la Bukombe, Doto Biteko.
 Mchungaji wa Kanisa la EAGT Kanani Uyovu, Mchungaji Yuspuh Kinoja akitafakari jambo wakati wa ibada ya jumapili kanisani hapo.
 Waumini wa Kanisa la EAGT Kanani Uyovu wakifuatilia ibada ya jumapili Novemba 24, 2019.
Tazama BMG TV ONLINE hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.