LIVE STREAM ADS

Header Ads

Ujenzi wa jengo la mizigo MWANZA AIRPORT wafikia hatua nzuri

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Ujenzi wa jengo la mizigo katika uwanja wa ndege wa Mwanza umeelezwa kukamilika kwa zaidi ya asilimia 90 ambapo hadi kukamilika kwa asilimia 100 litagharimu shilingi bilioni nne ikiwa ni pamoja na gharama za miundombinu yake.
Tazama BMG TV ONLINE hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.