LIVE STREAM ADS

Header Ads

Tazama hatua ulipofikia ujenzi wa jengo la abiria Mwanza Airport

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
 Ujenzi wa jengo la abiria katika uwanja wa ndege wa Mwanza unazidi kwenda kwa kasi ambapo Msimamizi Mmkuu wa mradi huo amezungumza na BMG TV na kufafanua ulipofikia mradi huo.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Shughuli ya kujaza udongo kwenye msingi ikiendelea.
Zaidi ya wafanyakazi wa muda 200 wananufaika na mradi huu kila siku.
 Mwonekano wa hatua ya awali ya msingi kwenye ujenzi wa jengo la abiria katika uwanja wa ndege wa Mwanza.
Tazama BMG TV ONLINE hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.