LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mapokezi ya Waziri Mkuu "sherehe za Maulid kitaifa jijini Mwanza"

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
 Mapokezi ya Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa akiwapungia mkono viongozi mbalimbali waliojitokeza kumlaki katika uwanja wa ndege wa Mwanza kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za Maulid kitaifa jijini Mwanza, Novemba 09, 2019 kwa niaba ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli. Mapokezi ya Waziri Mkuu yameongozwa na Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (kulia).
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa akiwasili jijini Mwanza kuhudhuria sherehe za Maulid (mazazi ya Mtume S.A.W) zinazofanyika katika uwanja wa furahisha jijini Mwanza usiku wa Novemba 09, 2019 mgeni rasmi akiwa ni Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakar Zuberi na kisha jumapili Novemba 10, 2019 lifanyika Baraza Kuu la Maulid.
 Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa akiwasili jijini Mwanza.
 Kikundi cha ngoma asili kikitumbuiza kwenye mapokezi hayo.
 Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa akifurahia burudani kutoka kwa kikundi cha ngoma asili mkoani Mwanza.
 Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa pamoja na viongozi mbalimbali wakijionea burudani kutoka kwa kikundi cha ngoma asili mkoani Mwanza.
Tazama BMG TV ONLINE hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.