LIVE STREAM ADS

Header Ads

NIMR kuanza tafiti "kusaka suluhu ya kupambana na magonjwa"

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
 Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magongwa ya Binadamu (NIMR) imekuja na mpango wa kuwashirikisha watoa huduma mbalimbali wa afya ngazi za wilaya na mikoa ili kufanya tafiti zitakazosaidia kupambana na magonjwa mbalimbali.

Hayo yalibainishwa kwenye kilele cha warsha ya wadau wa utafiti kutoka mikoa ya Kanda ya Ziwa iliyofanyika jijini Mwanza kwa siku mbili kuanzia Novemba 04, 2019 ikiandaliwa na NIMR.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
 Mkurugenzi wa NIMR Kituo cha Mwanza, Dkt. Safari Kinung'hi akizungumza kwenye kilele cha warsha ya wadau wa utafiti Kanda ya Ziwa Novemba 05, 2019 jijini Mwanza.
Tazama BMG TV ONLINE hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.