LIVE STREAM ADS

Header Ads

Wananchi Ukerewe watakiwa kutoa ushirikiano zoezi la unyunyiziaji dawa ya ukoko

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
 Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella akizungumza kwenye kikao kazi cha kujadili utekelezaji wa mikakati ya kupambana na ugonjwa wa Malaria ikiwemo unyunyiziaji dawa ya ukoko wilayani Ukerewe kuanzia mwaka 2020.

Kikao hicho kilichofanyika jijini Mwanza Novemba 07, 2019 kiliandaliwa na taasisi ya “ABT Associates” inayotekeleza mradi wa unyunyiziaji dawa ya kuua mazalia ya mbu (PMI VectorLink) kupitia ufadhili wa wadau mbalimbali ikiwemo US Aid, CDC pamoja na mfuko wa kupambana na Malaria wa Rais wa Marekani.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
 Wadau wa Malaria Mkoa Mwanza wakifuatilia kikao hicho.
Tazama BMG TV Online hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.