LIVE STREAM ADS

Header Ads

Wafuasi wa Mfalme Zumaridi wakaribishwa makanisa mengine

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
 Novemba 18, 2019 Serikali kupitia Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya Nyamagana mkoani Mwanza inasitisha ibada za kanisa la Mfalme Zumaridi kwa madai ya kuendeshwa kinyume na taratibu.

Novemba 20, 2019 Umoja wa Makanisa jijini Mwanza unaoundwa na Mabaraza ya Makanisa ya Kikatoliki (TEC), Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) pamoja na Baraza la Makanisa ya Kipentekoste Tanzania (CPCT) unatoa tamko lililoambatana na ushauri kwa waliokuwa wa Mfalme Zumaridi.
Tazama BMG TV ONLINE hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.