LIVE STREAM ADS

Header Ads

Kinachoendelea kwa Mfalme Zumaridi baada ya Serikali kufunga Kanisa

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Novemba 18, 2019 Serikali kupitia kwa Mkuu wa Wilaya Nyamagana, Dkt. Philis Nyimbi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wilayani humo ilisitisha shughuli za ibada katika Kanisa la Mfalme Zumarid' kwa madai ya kukiuka taratibu za uendeshaji ikiwemo kutumia usajili wa Kanisa lingine.
#BMGHabari
Mkuu wa Wilaya Nyamagana, Dkt. Philis Nyimbi (kushoto) alipofika katika kanisa la Mfalme Zumaridi (katikati) akiwa ameambatana na Kamati ya Ulinzi na Usalama WIlaya Nyamagana kisha kutangaza kusitisha shughuli za kanisa hilo.
Tazama BMG TV ONLINE hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.