LIVE STREAM ADS

Header Ads

Yaliyojiri Makamu wa Rais akizindua Kituo cha Afya Ukara Ukerewe

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan Disemba 14, 2019 alifanya uzinduzi wa majengo ya Kituo cha Afya Bwisya kilichopo Ukara Wilaya Ukerewe mkoani Mwanza. 

Kituo hicho kilifanyiwa upanuzi mkubwa na kuwa na hadhi ya Hospitali ya Wilaya baada ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli kuagiza sehemu ya fedha za rambirambi (zaidi ya Milioni 800) zilizopatikana kufuatia ajali ya Kivuko cha MV. Nyerere iliyotokea Septemba 2018 kufanya shughuli hiyo.
Tazama BMG TV hapa chini kwa hisani ya Gsengo TV

No comments:

Powered by Blogger.