LIVE STREAM ADS

Header Ads

UKEREWE "uzinduzi wa Kituo cha Afya Bwisya Ukara baada ya maboresho makubwa"

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
 Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan (wa nne kulia) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa upanuzi wa Kituo cha Afya Bwisya kilichopo katika Kisiwa cha Ukara Wilaya Ukerewe mkoani Mwanza, Disemba 14, 2019.

Kituo hicho kilifanyiwa upanuzi mkubwa na kuwa na hadhi ya Hospitali ya Wilaya baada ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli kuagiza sehemu ya fedha za rambirambi (zaidi ya Milioni 800) zilizopatikana kufuatia ajali ya Kivuko cha MV. Nyerere Septemba 2018 kufanya shughuli hiyo.
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akiweka shada la maua kwenye mnara wa makaburi ya baadhi ya wananchi waliopoteza maisha katika ajali ya Kivuko cha MV. Nyerere iliyotokea mwaka jana 2018.
 Mwonekano wa mnara wenye majina na baadhi ya makaburi ya waliopoteza maisha kwenye ajali ya Kivuko cha MV. Nyerere. 
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan (kulia) akimjulia hali mmoja wa watoto (aliyebebebwa na mzazi wake) baada ya kuzindua upanuzi wa Kituo cha Afya Bwisya Ukara wilayani Ukerewe.
Picha na Gsengo Blog
Tazama "Rais Magufuli aombwa kufika Kisiwa cha Ukara wilayani Ukerewe"

No comments:

Powered by Blogger.