LIVE STREAM ADS

Header Ads

Wachimbaji wafunguka kupewa maeneo ulipokuwa mgodi wa Resolute Nzega

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
 Waziri wa Madini, Doto Biteko akizungumza na wachimbaji wadogo wa dhahabu katika Wilaya Nzega mkoani Tabora (hawako pichani) kabla ya kukabidhi leseni kwa vikundi 10 vya uchimbaji dhahabu wilayani humo.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Waziri wa Madini, Doto Biteko (kushoto) alikabidhi leseni za uchimbaji dhahabu kwa vikundi 10 vya wachimbaji wadogo ambavyo ni Msilale Miners Group, Jimbo la Nzega Vijijini, Undomo Miners Group, Hapa Kwetu Group, Umoja wa Wachimbaji Mwanshina, Mkombozi Mining Group, Imalamakoye Miners Group, Salama Miners, Makalanga Minerals Group na Nzega Miners Association.
Mkuu wa Wilaya Nzega mkoani Tabora, Godfrey Ngupula akitoa salamu zake kwenye mkutano huo.
Wachimbaji wadogo wa dhahabu wanatarajia kunufaika na shughuli hiyo baada ya Waziri wa Madini, Doto Biteko kukabidhi leseni za uchimbaji kwa vikundi 10 vya wachimbaji wilayani Nzega.

Ni baada ya Serikali kuridhia wachimbaji wadogo kupewa baadhi ya maeneo ya uliokuwa mgodi wa Resolute ambao uzalishaji ulifikia ukomo.
Tazama BMG TV ONLINE hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.