LIVE STREAM ADS

Header Ads

Ziara ya Rais Magufuli Zanzibar "kuelekea kilele cha Mapinduzi ya Zanzibari"

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli yuko anaendelea na ziara ya kikazi Zanziba akiungana na viongozi mbalimbali wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.

Akiwa Zanzibar, Rais Magufuli ameweka jiwe la Msingi Ujenzi wa Skuli ya Mwanakweleni pamoja na ufunguzi rasmi wa Hotel ya Nyota Tano iloyojengwa na Bakhresa. Shughuli hizo ni sehemu ya kuelekea Kilele cha miaka 56 ya Mapinduzi ya Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika Januari 12, 1964.

No comments:

Powered by Blogger.