LIVE STREAM ADS

Header Ads

Wananchi 'wachefukwa' zoezi la kupata namba za NIDA

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella Januari 16, 2020 amefika katika ofisi za NIDA Wilaya Nyamagana kufuatia malalamiko kutoka kwa wananchi kuhusu zoezi la utoaji namba za vitambulisho vya NIDA.

Kumekuwa na msongamano wa wananchi katika maeneo mbalimbali nchini baada ya Rais John Magufuli kutangaza kuwa mwisho wa usajili wa laini za simu kwa alama za vidole ni Januari 20, 2020.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.