LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mtu akichezea mali ya ushirika anachukuliwa juu kwa juu- Dkt. Kamani

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

 Mwenyekiti wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC), Dkt. Titus Kamani akizungumza kwenye Mkutano Mkuu wa 28 wa Chama Kikuu cha Ushirika Nyanza uliofanyika Januari 30, 2020 katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Ualimu Butimba jijini Mwanza.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
 Wanachama wa Chama Kikuu cha Ushirika Nyanza wakimsikiliza Mwenyekiti wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC), Dkt. Titus Kamani  wakati akizungumza kwenye Mkutano Mkuu wa Chama hicho.
 Mwenyekiti wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC), Dkt. Titus Kamani akizungumza kwenye Mkutano Mkuu wa Chama Kikuu cha Ushirika Nyanza uliofanyika jijini Mwanza.
 Kaimu Mrajisi wa Vyama vya Ushirika Tanzania, Dkt. Benson Ndyege akitoa salamu zake kwenye mkutano huo.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.