LIVE STREAM ADS

Header Ads

Picha za hapa na pale barabara ya Runzewe-Ushirombo wilayani Bukombe

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

 Barabara ya Ushirombo-Runzewe ni kiunganishi muhimu kiuchumi katika mikoa ya Shinyanga, Geita, Kagera pamoja na nchi jirani ikiwemo Rwanda, Uganda na Congo.
'Safari moja huanzisha nyingine'
 'Mdogo mdogo tutafika'
 'Mwanangu mshike sana elimu, usimwache aende zake'
 'safari ni safari'
 'Tunashuhudia ujio wa nishati ya umeme kijijini kwetu'
 'Tunabadilishana mawazo'
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.