LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mazungumzo na Mfalme Zumaridi yanaenda vizuri- RC MWANZA

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
 Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella akifungua kikao cha viongozi wa dini chenye lengo la kujengeana uwezo ili kuimarisha misingi ya amani kilichoandaliwa na Kamati ya Amani ya Viongozi wa Dini Mkoa Mwanza, Februari 24, 2020.
 Kikao cha Viongozi wa Dini mkoani Mwanza pia kililenga kujenga uelewa kwa viongozi wa dini kufahamu misingi ya dini nyingine hatua itakayoimarisha zaidi misingi ya mafundisho yanayochochea amani.
 Wanahabari wakinasa matukio kwenye kikao hicho.
 Viongozi wa dini mbalimbali mkoani Mwanza wakiwa kwenye kikao hicho.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.