LIVE STREAM ADS

Header Ads

GEITA “CCM Bukombe wanajenga ukumbi wa kisasa”

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

 Mwonekano wa msingi kwa ajili ya ujenzi wa jengo la ukumbi wa kisasa unaojengwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya Bukombe mkoani Geita.
 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya Bukombe mkoani Geita, Daniel Machongo akiwa ameambatana na baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Siasa akitoa maelezo kwa mbunge wa Jimbo la Bukombe Doto Biteko ambaye pia ni Waziri wa Madini kuhusiana na ujenzi wa jengo la ukumbi wa kisasa linalojengwa na chama hicho.
 Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Siasa Wilaya Bukombe wakiwa kwenye eneo la ujenzi wa jengo la ukumbi.
Kamati ya Siasa Wilaya Bukombe ikiwa kwenye kikao cha kuimarisha uhai wa chama na jumuiya zake.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.