LIVE STREAM ADS

Header Ads

Wanaoishi mazingira magumu kusoma bure Mwanza Lutheran

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

 Kwa kutambua umuhimu wa elimu, Shule mpya ya Sekondari Mwanza Lutheran (Mwanza Lutheran Secondary School) imetoa fursa kwa wanafunzi wanaoishi katika mazingira magumu wakiwemo yatima kusoma bure kwenye shule hiyo.

Askofu wa Kanisa la KKKT Dayosisi Mashariki ya Ziwa Victoria inayomiliki Shule hiyo, Baba Askofu Andrew Gulle aliyasema hayo Februari 18, 2020 kwenye ufunguzi rasmi wa shule hiyo iliyopo Mtaa wa Majengo Mapya katika Kata ya Mabatini jijini Mwanza.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.