LIVE STREAM ADS

Header Ads

Wajasiriamali wapewa mbinu "kumudu ushindani"

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Makamu Mwenyekiti wa TCCIA Mkoa Mwanza, Leopord Lema ambaye pia ni Mkurugenzi wa kampuni ya Mwanza Qulity Wines inayozalisha mvinyo wa matunda akifunga mafunzo ya usindikaji vyakula kwa wajasiriamali yaliyotolewa na Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO) Mkoa Mwanza.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Mmoja wa wajasiriamali waliopata mafunzo SIDO (kulia) akipokea cheti cha ushiriki kutoka kwa Makamu Mwenyekiti wa TCCIA Mkoa Mwanza, Leopord Lema ambaye alikuwa mgeni rasmi kwenye kilele cha mafunzo hayo.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.