LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mshindi shindano la Urithi Festival akabidhiwa zawadi ya gari

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
 Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla amekabidhi zawadi ya gari aina ya Toyota Nissan Suzuk (Kirikuu) kwa kwaya ya Mtakatifu Benedicto Parokia ya Bugando, baada ya kuibuka mshindi wa kwanza wa mashindano ya kwaya yaliyoendeshwa kwenye Tamasha la Urithi (Urithi Festival 2019) jijini Mwanza.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
 Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Prof. Adolf Mkenda (kulia) akionesha zawadi ya gari iliyotolewa kwa kwaya ya Mt. Benedicto Parokia ya Bugando. 
 Sehemu ya waimbaji wa kwaya ya Benedicto Parokia ya Bugando jijini Mwanza.
Waimbaji wa kwaya ya Mtakatifu Benedicto Parokia ya Bugando jijini Mwanza wakiwa kwenye picha ya pamoja na zawadi yao ya gari.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.