LIVE STREAM ADS

Header Ads

Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar alakiwa jijini Mwanza akitokea mkoani Shinyanga

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
 Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (wa tatu kulia) Machi 05, 2020 amemlaki Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi (wa pili kushoto) akitokea mkoani Shinyanga alikokuwa na ziara kuanzia Machi Mosi 2020. Balozi Iddi ambaye pia ni Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Shinyanga amepita jijini Mwanza baada ya kuhitimisha ziara yake mkoani Shinyanga.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
 Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi ambaye pia ni Mlezi wa CCM Mkoa Shinyanga akisalimiana na viongozi mbalimbali mkoani Mwanza.
 Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi ambaye pia ni Mlezi wa CCM Mkoa Shinyanga akisalimiana na viongozi mbalimbali wa mikoa ya Shinyanga na Mwanza kabla ya kuondoka katika uwanja wa ndege wa Mwanza.
 Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi ambaye pia ni Mlezi wa CCM Mkoa Shinyanga akiagana na viongozi mbalimbali wa mikoa ya Shinyanga na Mwanza wakati akiondoka kwenye uwanja wa ndge wa Mwanza.
 Viongozi mbalimbali mkoani Mwanza wakimuaga Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi ambaye pia ni Mlezi wa CCM Mkoa Shinyanga.
  Viongozi mbalimbali mkoani Mwanza wakimuaga Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi ambaye pia ni Mlezi wa CCM Mkoa Shinyanga.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.